Jordi Alba |
Wachezaji Jordi
Alba, Javi Martinez na and Juan Mata ni miongoni mwa wachezaji waliotangazwa kuunda
kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kwenye michezo ya Olympic mjini london.
Wachezaji
hawa walikuwemo katika cha timu ya taifa hilo kilicho twaa taji la euro 2012 .
Licha ya
kucheza na mchezo wa fainali wa Euro 2012 na kufunga dhidi ya Italia Alba na Mata wameitwa.
Kikosi hicho kinataraji kujipima dhidi ya Senegal
na Mexico katika mchezo wa kirafiki kabla ya kocha wake Luis Milla kupunguza
baadhi ya wachezaji na kufikia 18 ambao watashiriki michuano hiyo.
Goalkeepers:
Joel Atletico Madrid
Daivd de Gea
Manchester United
Diego Marino
Villarreal
Defenders:
Mikel San
Jose Athletic Bilbao
Martin
Montoya Barcelona
Jordi Alba Barcelona
Alvaro
Dominguez Monchengladbach
Cesar
Azpilicueta Olympique Marseille
Inigo
Martinez Real Sociedad
Alberto
Botia Sporting Gijon
Midfielders:
Ander
Herrera Athletic Bilbao
Javi
Martinez Athletic Bilbao
Koke Atletico Madrid
Thiago
Alcantara Barcelona
Cristian
Tello Barcelona
Oriol Romeu Chelsea
Juan Mata Chelsea
Isco Malaga
Attackers:
Iker Muniain
Athletic Bilbao
Adrian Lopez
Atletico Madrid
Rodrigo
Moreno Benfica
Alvaro Espanyol
No comments:
Post a Comment