Jumla ya
wachezaji wanne wa timu ya taifa ya Ufaransa wanakabiliwa na adhabu inayotokana
na utovu wa nidhamu uliotokea katika michezo ya Euro 2012.
Taarifa ya
shirikisho la soka la nchini Ufaransa (FFF) Samir Nasri alitenda kosa la kutoa
lugha chafu kwa mwandishi wa habari ilhali Jeremy Menez alifanya kama hivyo kwa
nahodha Hugo Lloris.
Hatem Ben
Arfa alihitilafiana na aliyekuwa bosi wake Laurent Blanc naye Yann M'Vila hakupena
mikono na kocha wakati akibadilishwa kuelekea kwenye benchi.
Rais wa FFF Noel
Le Graet amesema pesa ya bonas kiasi cha pauni £80,000 hakitatolewa.
Amenukuliwa pia
akisema
"Hatem
Ben Arfa, Yann M'Vila, Samir Nasri na Jeremy Menez wanatakiwa mbele ya kamati
ya "
Amesema pia
wachezaji hao wataadhibiwa tu lakini hawaadhibiwa kimazoea lakini wataadhibiwa .
No comments:
Post a Comment