Mabingwa wa soka Uganda 2011/2012 Express |
Mabingwa wa
soka nchini Uganda Express FC wanatarajiwa kuanza kutetea taji la ligi kuu ya
soka nchini Uganda dhidi ya mabingwa wasoka nchini humo mwaka 2005 Police FC pambano
ambalo litapigwa huko Wankulukuku.
Kwa kujubu
wa ratiba mpya ya ligi ya Uganda ilitolewa inaonyesha kuwa ligi kuu kwa msimu
wa 2012/2013 itaanza August 24.
Wageni wa
ligi hiyo SC Victoria University na Kira Young wataanzia katika viwanja vya nyumbani
dhidi ya Bidco na Maroons.
Entebbe
Young watakuwa wageni wa Proline kule Lugogo. Bunnamwaya wataanza kampeni ya
kusaka taji la pili katika kipindi cha miaka saba ya ushiriki wao katika ligi
hiyo dhidi ya Simba.
George
‘best’ Nsimbe ataanda kipindi msimu kama bosi wa KCC dhidi ya Masaka Local
Council.
Baada ya
kuwaacha wachezaji wake kadhaa wakongwe Alex Isabirye ambaye ni bosi wa URA ataanzia
kule Lugazi dhidi ya Water FC.
mabingwa wa
kihistoria nchini Uganda SC Villa wanatarajiwa kuanza dhidi ya wageni Kakindu.
August 24
fixtures
Bunamwaya SC
Vs Simba FC, Buikwe
Express FC
Vs Police FC, Wankulukuku
Kira Young
FC Vs Maroons FC, Luzira
Masaka LC FC
Vs KCC FC, Masaka RC
Proline FC
Vs Entebbe Young FC, Lugogo
SC Victoria
University Vs BIDCO FC, Namboole
URA FC Vs
Water FC, Lugazi
Victors FC
Vs SC Villa, Kakindu – Jinja
No comments:
Post a Comment