SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA MBEYA ZACHUANA KUSAKA BINGWA WA MKOA KATIKA KIKAPU KWA UDHAMINI WA COCA COLA KUPITIA KINYWAJI CHA SPRITE,
|
,Mwanafunzi wa shule ya sekondari
Wenda, Gaudence Chrispine akimtoka mwanafunzi wa shule ya seokondari Iyunga
zote za jijini Mbeya, wakati wa mashindano ya kutafuta timu ya mpira wa
kikapu ya Mkoa wa Mbeya, mashindano yalifanyika jana katika viwanja vya Youth
Center wa Jjjini Mbeya, ambapo mashIndano hao yalidhaminiwa na kampuni ya Coca
Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite.
|
|
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka shule ya
sekondari Wenda ya jijini Mbeya, Gasper Benedict akiondoa mpira katika eneo
goli la timu yao ambapo walichuana na wachezaji wa shule ya sekondari Iyunga, wakati
wa mashindano ya kutafuta timu ya Mkoa wa Mbeya, yanayodhaminiwa na kampuni ya
Coca Cola,kupitia kinywaji cha Sprite, Mashindano hayo yalifanyika katika
kiwanja cha Kikatoliki cha Jijini Mbeya.
|
|
Wachezaji wa shule ya sekondari Iyunga
wakishambulia nyvu za timu ya shule ya sekondari Wenda zote za jijini Mbeya,
katika mashindano yaliyofanyika viwanja vya Youth Center ya jijini Mbeya,
mashindano hao yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola kupitia kinywaji chake
cha Sprite ambapo ilitafutwa timu ya Mkoa wa Mbeya ya mpira wa
kikapu.
|
No comments:
Post a Comment