Mshindi
wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu
kutoka mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka
mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni
mshindi wa pili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni
Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba.
Washindi
watatu bora kwenye mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012 kwenye
picha ya pamoja na Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh.
January Makamba wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi ya
mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mwakilishi
Mkazi waShirika la Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman akimpongeza
mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Sista Martha
Mwasu kutoka mkoani Dodoma wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi
ya mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano Bw. Imani Kajula akiwapongeza washiriki wa
Mama Shujaa wa Chakula 2012 wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi ya
mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Washiriki wa Mashindano ya Mama wa Shujaa wa Chakula 2012 wakiwa zawadi walizokabidhiwa na Benki ya NMB baada ya shindano hilo
No comments:
Post a Comment