Sura
ya nje ya uwanja ya kumbukumbu ya CCM sokoine jijini Mbeya ambao ni uwanja wa nyumbani wa
Timu ya Prison inayoshiriki ligi kuu ukimilikiwa na Chama cha Mapinduzi
umekuwa miongoni mwa miradi iliyotelekezwa katika ujenzi wa miundo
mbinu yake hasa eneo la vyoo.
Haya ndiyo mabafu ya uwanja wa sokoine jijini mbeya ambayo kwa sasa yamekuwa yakitumika kama vyoo na baadhi ya watumiaji kutokana na hali ya vyoo kuwa mbaya |
Ukuta wa duka la mojawapo lililo nje ya uwanja wa sokoine ukiwa unanyunyizwa kwa haja ndogo za watumiaji wake . |
Hali
ya uwanja wa sokoine jijini Mbeya imeelezwa kuwa mbaya na huenda ikawa
chanzo cha magonjwa ya mlipuko katika jiji hilo wakati huu tukielekea
kwenye msimu wa masika
(KUTOKA MBEYA YETU BLOG)
No comments:
Post a Comment