Bondia Thomas Mashali usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kumtupia makonde mazito na ya akili bondia Medy Sebyala wakati wa mpambano wao wa
kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati ambapo Mashali alishinda kwa point.
Pichani juu akiwa na mbunge kijana na mpenda michezo Iddi Azan ambaye ni mbunge Kinondoni.
Picha ya kati akipambana vikali na mpinzani wake Medy Sebyala na picha ya chini akiwa na mashabiki wake akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Haule Profesa J, mlinzi wa kati wa mabingwa soka Tanzania Bara Simba, Juma Nyoso pamoja na kiungo Haruna Moshi 'Boban'.
No comments:
Post a Comment