KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, October 15, 2012

Abdallah Yusuph Idd toka Lugalo club ashinda mashindano ya Mwl Nyerere masters Golf .

Mgeni rasmi Mark Bomani (aliyevaa tshirt ya mistari) akibadilishana mawazo na wadhamini wa gofu na uogozi wa gofu wa club ya Gymkhana jijini Dar es salaam.
Zawadi ambazo zimetolewa  kwa wachezaji walioshinda hapo jana.
Mkurugenzi wa wateja wakubwa wa NMB  akihutubia washiriki.
Mark Bomani ambaye alikuwa mgeni rasmi wa mashindno ya Mwl Nyerere masters Golf akihutubia wanamichezo na wengine waliokuwepo kwenye hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam.
Bingwa Abdallah Yusuph Idd toka Lugalo club wa Mwl Nyerere masters golf  2012 akikabidhiwa zawadi zake na mgeni rasmi Mark Bomani kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam.
Mshindi Abdallah Yusuph Idd toka Lugalo club wa Mwl Nyerere masters golf  2012 akiwa na mgeni wafadhili NMB na uongozi wa gofu Gymkhana.

No comments:

Post a Comment