Meneja wa timu ya taifa ya Cameroon Rogobart Song akiongea na waandishi wa habari juu ya mchezo wa kesho. |
Kocha mkuu wa timu ya taufa ya Cameroon Akono Jean Paul akionegela maandalizi yake kwa mchezo wa kesho dhidi ya Stars kubwa ni kwamba anaiheshimu taifa stars kutokana na kwamba mpira wa miguu Afrika unafanana lakini pia kutokana na matokeo ya mchezo uliopita dhidi ya Zambia. |
Hapa wakisikiliza maswali ya waandishi wa habari wa mwisho kulia ni nahodha msaidizi Wome Nlend Pierre . |
Nahodha Wome Nlend Pierre akifuatilia maswali ya waandishi wa habari. |
Katibu mkuu wa TFF Angetile Oseah leo aligeuka kuwa mkalimani kwa kutafsiri lugha ya kifaransa kurahisha mawasilino baina ya kocha Akono wa Cameroon kwa waandishi wa habari. |
Kutoka kushoto ni Angetile Oseah, kocha stars Kim Poulsen na nahodha Juma Kaseja wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za TFF. |
No comments:
Post a Comment