Mabondia wa timu ya JKT Makao Makuu kutoka kushoto ni Ismail Gaitano,Hmidu Alfani,Khamis Husein na Wambura Amiri klabla. |
Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K,o raundi ya kwanza. |
Meja kiungu wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo. |
Mwandishi Zainabu Kiluwale katika akiwa na katibu wa BFT Makore Mashaga na Rais chama cha ngumi za kulipwa TPBO Yasin Abdalah Ostadhi. |
Wakati mwingine mwalimu analazimika kutoa maelezo ya ziada ulingoni mambo yanapo kwenda kombo. |
Mwamuzi anamuhesabia bondia baada ya kuzidiwa na mpinzani wake. |
Meja Kiungu akizikagua timu shiriki. |
Yasin Abdalah Ostadhi akizikagua timu shiriki nyuma ya mgeni rasmi meja kiungu. |
No comments:
Post a Comment