|
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao alilofunga Haruna Niyonzima katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0. |
|
Mcha Hamisi wa Azam kushoto akijaribu kutafuta mbinu ya kumzuia Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima. |
|
Mlinzi wa Yanga Nadir Horoub Ally Kanavaro akipambana na mshambuliaji wa Azam John Bocco. |
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima mwenya mpira akikabiliana na mshambuliaji wa Azam Hamis Mcha wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa
Taifa ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Haruna Niyonzima akishangilia bao kwa staili ya aina yake.
No comments:
Post a Comment