licha ya ushindi huo wa Liverpool
wa mabao 3-1 bado haikutosha kuisogeza mbele timu hiyo kufuatia matokeo hayo kufanya kuwepo matokeo ya sare ya mabao 3-3 lakini Zenit wakifaidika na bao la ugenini.
Hata hivyo wekundu hao wanaweza pia wakapata pigo lingine la pili endapo UEFA wataamua kumuadhibu Luis Suarez raia wa Uruguay kufuatia kumtimba katika kipindi cha Tomas Hubocan katika mchezo huo.
Luis Suarez akimtimba makalio Tomas Hubocan wa Zenit.
Mlinzi huyo alikuwa akiukimbia mpira kujaribu kuepuka mpira wa kurushwa upande wao na ndipo alipodondoka akiwa katika kukabiliana na Suarez ambaye kwa makusudi alimkanyaga kwa makusudi.
No comments:
Post a Comment