KUDRA OMARY NA HAMISI YUSUFU WAZIRI WA ULINZI WASHINDWA KUZIPANDISHA JKT MLALE NA POLISI IRINGA.
 |
Mlinzi
wa kati wa Zamani wa Yanga aliyepachikwa jina la 'waziri wa Ulinzi'
wakati wake Hamisi Yusufu wa kwanza kulia aliyeshika chupa ya maji
alikuwa ni mlinzi wa kati wa Polisi Iringa ambayo imeshindwa kupanda
kucheza ligi kuu msimu ujao baada ya kushiriki ligi daraja la kwanza kutoka kundi A,
Hamisi Yusufu amesema ligi daraja la kwanza ilikuwa na changamoto kubwa
kwake na wachezaji wenzake kwa kuwa mkoa wa Iringa ulishindwa na wadau
wa soka wa mkoa huo ikiwa ni pamoja na jeshi la polisi kutokuiunga mkono
timu yao katika kampeni yao ya kuipandisha timu hiyo.
|
 |
Nahodha
wa timu ya JKT Mlale ambaye ni mchezaji wa zamani wa mabingwa wa soka
Afrika Mashariki na kati Yanga Kudra Omari aliyevaa kitambaa cha
unahodha wa timu yake . Kudra amesema licha ya kujitolea kwa nguvu zake
zote kuhakikisha anafanikiwa kuipandisha ligi kuu JKT Mlale bado dhamira
yake imesindikana kutoka na kukosa sapoti ya mkoa wa Ruvuma. Mlale
ilishiriki ligi daraja la kwanza kundi A ambalo lilikuwa na timu za
Mbeya City, Polisi Iringa, Kurugenzi, Majimaji, Mkamba Rangers na Bukina
Faso za Morogoro. | |
|
|

 |
Nahodha wa timu ya JKT Mlale ambaye ni mchezaji wa zamani wa mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati Yanga Kudra Omari aliyevaa kitambaa cha unahodha wa timu yake . Kudra amesema licha ya kujitolea kwa nguvu zake zote kuhakikisha anafanikiwa kuipandisha ligi kuu JKT Mlale bado dhamira yake imesindikana kutoka na kukosa sapoti ya mkoa wa Ruvuma. Mlale ilishiriki ligi daraja la kwanza kundi A, ambalo lilikuwa na timu za Mbeya City, Polisi Iringa, Kurugenzi, Majimaji, Mkamba Rangers na Bukina Faso za Morogoro. | |
|
No comments:
Post a Comment