WAKE NA WAPENZI WA WACHEZAJI WA UNITED HAWANA HABARI YA KICHAPO CHA JUMAMOSI WATOKELEZEA KATIKA UZINDUZI WA MFUKO WAO.
|
Line up: Bouchra Van Persie, Sam Cooke (Chris Smalling), Helen Evans,
Laura Christ (Alex Buttner), Kaya Hall (Phil Jones), Nicky Pike (Ashley
Young), Daniela Martins (Nani), Misse Beqiri (Anders Lindegaard)Wakati Manchester United ikionyesha soka bovu katika mchezo ambao walifungwa mabao 2-1 Jumamosi na West Bromwich Albion,
lakini wake na marafiki wa kike wa wachezaji wa klabu hiyo hawakuwa katika huzuni mbali ya kutokelezea kiurembo zaidi katika siku ambayo walikwenda kuzindua mfuko wao maalumu uliotambulika kama 'United foundation ladies
lunch'.
Among those present were Michael
Carrick's wife Lisa, Robin van Persie's wife Bouchra and The Only Way is
Essex star Georgina Dorsett, who is Tom Cleverley's girlfriend.
Hosted by Eamonn Holmes and Ruth
Langsford, following the sell-out success of last year’s event, the
event saw the girls enjoy live entertainment and the chance to
experience the luxury treatments in the Selfridges beauty village.
|
|
Ladies lunch: Georgina Dorsett, girlfriend of Tom Cleverley and star of TOWIE, poses for the cameras |
|
Daniela Martins, girlfriend wa Luis Nani |
|
Anna Vidic mke wa mlinzi Msebia Nemanja Vidic akiwasili shughulini.
|
|
Lisa Carrick mkew wa kiungo Michael Carrick ambao walioana 2007, mwaka mmoja baada ya kiungo huyo kujiunga na United
|
|
Marafiki: Kaya Hall (mpenzi wa Phil Jones kulia ) na Bouchra van Persie (mke wa Robin van Persie)
|
|
Kimtoko zaidi: Anna Vidic, Lisa Carrick, mgeni , Georgina Dorsett (Tom Cleverley), Hayley Fletcher
|
No comments:
Post a Comment