David Luiz amethibitisha amekuwa katika hali mbaya baada ya kupasuka pua katika mchezo wa kombe la shirikisho baina ya Brazil na Mexico uliopigwa jumatano usiku na sasa anahitajika kufanyiwa upasuaji.
Mlinzi huyo wa Chelsea alilazimika kubadilisha jei yake baada ya kugongana na Thiago Silva katika kipindi cha kwanza wakati akijaribu kuokoa mpira wa adhabu ya moja kwa moja yaani free-kick.
Luiz alijishika pua wakati damu ikitiririka ambapo alionekana akiwa katika maumivu makubwa na sasa atalazimika kuvalia kizuia pua yaani mask mpaka kumalizika kwa michuano ya kombe la mabara nchini Brazil.
David Luiz akionekana kuzubaa baada ya kuumia pua.
Luiz akibadilisha jezi baada ya kulowa damu.
Baada ya kutolewa nje ya machela na baada ya kuhudumiwa na timu ya madaktari kwa dakikia kadhaa aliruhusiwa kurejea uwanjani na wakati huo huo akibadilisha jezi na kushangiliwa na mashabiki.
Katika mchezo huo Brazil ilichomoza na ushindi wa mabao 2-0 huku shukrani kubwa zikisukumwa kwa mshambuliaji Neymar .
Katika mchezo huo Brazil ilichomoza na ushindi wa mabao 2-0 huku shukrani kubwa zikisukumwa kwa mshambuliaji Neymar .
Help: The was immediate concern for Luiz when he went down
On a stretcher: Luiz was led away as they medical team tried to stem the flow of blood
Messy: The staff try and clear up Luiz's nose as fast as possible
New look: The Chelsea defender came back onto the pitch with a tissue stuffed up his nose
Hat-trick: Luiz's Chelsea team-mayes Fernando Torres and Demba Ba have needed masks in recent months
No comments:
Post a Comment