Tanzania Volleyball Association
P.O Box 10496, DAR ES SALAAM – TANZANIA.
EMAIL-tavatanzania@yahoo.com
Affiliated to National Sports Council, Member of Tanzania
Olympic Committee
Member of Africa Volleyball Confederation, Member of Federation
International de volleyball
KUMB. TAVA/ADM/ 06/13 April 15, 2013
- WAHARIRI WA VYOMBO
VYA HABARI
-KATIBU MKUU BARAZA
LA MICHEZO LA TAIFA(BMT)
-MKURUGENZI WA
MAENDELEO YA MICHEZO
-KATIBU MKUU KAMATI
YA OLYMPIKI TANZANIA.
\YAH: MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA TAVA
.TAREHE. - 18/5/2013
.MAHALI - Mkonge Hoteli Tanga
.WAJUMBE. -Wenyeviti na makatibu wa vyama vya mikoa
Vilivyojishirikisha na TAVA
-Wajumbe wa kamati ya utendaji wanaomaliza
muda wao
.NAFASI ZITAKAZOGOMBEWA.- Mwenyekiti
-Makamu wa kwanza mwenyekiti mipango na maendeleo
-Makamu wa pili mwenyekiti fedha na utawala
-Katibu mkuu
-Naibu katibu mkuu
-Mwenyekiti kamati ya ufundi
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya shule na
vyuo
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya mikoa
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya waamuzi
-Mweyekiti kamati ya maendeleo ya makocha
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya mpira wa
ufukweni.
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya wanawake.
-Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya watoto
-Uchaguzi wa TAVA utasimamiwa na Baraza la michezo la Taifa
kwa mujibu wa katiba ya TAVA
-Utaratibu wa fomu za wagombea utatolewa muda mfupi ujao.
Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa TAVA. –Augustino
Israel AGAPA
Augustino
Israel AGAPA
Rais wa TAVA
Simu 0713 338744/0788255858
Nakala-. Katibu mkuu Baraza la michezo la Taifa(BMT)
No comments:
Post a Comment