Frank Lampard akimpigia simu Bobby Tambling baada ya mchezo. |
Frank Lampard amefanikiwa kufunga goli lake la 202 na lingine la 203 akiwa katika jezi ya Chelsea na kuipita rekodi ya aliyekuwa mfungaji wa muda wote klabu hiyo Bobby Tambling na kuihakikishia timu hiyo nafasi ya kucheza Champions League msimu ujao.
Wakati Chelsea wakiwa nyuma kwa bao la kuongoza la Aston Villa lilifungwa na Christian Benteke mapema kipindi cha kwanza, ndipo Lampard mwenye umri wa miaka 34 alilipo pokea pasi ya Eden Hazard na kutengeneza mpira vizuri kabla ya kupiga shuti la umbali wa yadi 15 lililompita mlinda mlango wa Villa Brad Guzan.
Goli lake la pili katika mchezo huo lilikuja baada ya mchezo mzuri upende wa kushoto kati ya Ashley Cole
na Hazard kabla ya mpira kumfikia Lampard na kuandika bao la pili.
Frank Lampard akijiandaa kupiga na kuweka mpira nyavuni katika dimba la Stamford Bridge na kuiipita rekodi ya Bobby Tambling ya ufungaji wa mabao darajani.
Rekodi ya wafungaji mabao wa Chelsea
Frank Lampard 203
Bobby Tambling 202
Kerry Dixon 193
Didier Drogba 157
Roy Bentley 150
Bobby Tambling 202
Kerry Dixon 193
Didier Drogba 157
Roy Bentley 150
Lampard, alianza kuifungia goli la kwanza Chelsea katika mchezo dhidi ya Bolton mwaka 2001, na kabla ya magoli ya leo alifunga goli katika mchezo dhidi ya Swansea mchezo ambao Chelsea ilishinda mabao 2-0 manamo mwezi April.
Baadhi ya mashabiki walilazimika kuingia uwanjani kushangilia na kiungo huyo wa England baada ya kuvunja rekodi hiyo.
Lampard amesema baada ya mchezo
'Ina maanisha kila kitu, raha sana maajabu.
'ushirikiano nilioupata toka kwa wachezaji wenzangu hatimaye umeonekana mwishowe na ninamshukuru kila mmoja kwasababu ni wao wameniwekea mambo kwenye sahani wakati mwingine.
'Na mashabiki wamekuwa pamoja na mimi kwa kipindi kirefu na wakati mwingine tumekuwa tukichanganyiwa pamoja tunaposhindwa kwahiyo nimefurahi sana.'
Head and shoulders above the rest: Lampard is the all-time top Premier League midfield goalscorer.
Lampard.
Lampard (kushoto) na Bobby Tambling kulia enzi zake.
Viungo wanao ongoza kwa kufunga mabao mwengi Premier
Lampard – 165
Giggs – 109
Scholes – 107
Le Tissier – 100
Gerrard – 98
Giggs – 109
Scholes – 107
Le Tissier – 100
Gerrard – 98
Footballers' reaction on Twitter
Eden Hazard: Thank you sir Lampard
Demba Ba: Super, super Frank... Super Frankie Lampard #203goals ;-)
Wayne Routledge: Frank Lampard #RecordBreaker
Marko Marin: Lampard you're a legend!
Lucas Piazon: Congrats Lamps!!!! What a player #cfc #legend
Dead Windass: Frank Lampard what a man, what a player. If they let him go it's madness.
George Elokobi: Respect to Frank Lampard for breaking goal record for Chelsea.
Nathaniel Chalobah: Just finished training and seen that Lamps has broken the record. Delighted for him. Great professional and a legend. Fully deserved #cfc
Emmanuel Frimpong: Lampard what a legend
Ryan Bertrand: #Lampard203

No comments:
Post a Comment