Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie ameshinda zawadi ya mchezaji bora wa mwezi Aprili wa Barclays Premier League.
Mduchi huyo ambaye ameshinda nafasi hiyo kwa mara ya pili baada ya kufanya hivyo mwezi msimu huu mwezi December.
Van Persie alifunga sita katika mwezi wa April ikiwa ni pamoja na kufunga magoli matatu katika mchezo mmoja yaani hat-trick katika mchezo dhidi ya Aston Villa
Robin van Persie
Mgoli sita ya mwezi uliopita yamemfanya afikishe jumla ya magoli 25 ndani ya msimu ikiwa ni magoli matano pungufu ya yale aliyofunga mwaka jana na sasa akikaribiana na Luis Suarez.
Kuna kila dalili ya mshambuliaji huyo kupata tuzo ya ufungaji bora wa msimu kwasababu Suarez kwasasa anatumikia kifungo cha michezo 10.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29 msimu huu amekuwa akivalia jezi namba 10 huku kukiwa na uwezekano katika msimu ujao akabadilisha jezi hiyo na kuvaa jezi nyingine yenye namba 9.
Dimitar
Berbatov alikuwa akivalia jezi nambari 9 ya United wakati Van Persie akiwasili Old
mwezi August, lakini hata hivyo Mbulgaria huyo aliondoka na kuelekea Fulham.
Rekodi ya wachezaji wa mwezi msimu huu
2012/2013 ni kama ifuatavyo
Steven Fletcher (Sunderland) - September
Juan Mata (Chelsea) - October
Marouane Fellaini (Everton) - November
Robin van Persie (Man United) - December
Adam le Fondre (Reading) - January
Gareth Bale (Tottenham) - February
Jan Vertonghen (Tottenham) - March
Robin van Persie (Man United) - April
Juan Mata (Chelsea) - October
Marouane Fellaini (Everton) - November
Robin van Persie (Man United) - December
Adam le Fondre (Reading) - January
Gareth Bale (Tottenham) - February
Jan Vertonghen (Tottenham) - March
Robin van Persie (Man United) - April
Deadly: Van Persie's latest goal was from the penalty spot against former club Arsenal
Top class: Van Persie hit a memorable hat-trick against Aston Villa on his way to winning the award
No comments:
Post a Comment