KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 20, 2013

Higuain akubali mpango wa kujiunga na Arsenal kwa pesa ndefu ya wiki ya pauni £150,000 na ada ya rekodi ya Arsenal ya pauni milioni £22.

On the move: Real Madrid striker Gonzalo Higuain is closing in on a big-money switch to Arsenal
Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Higuain anakaribia kujiunga na Arsenal kwa hela ndefu.

Arsenal imekubali matakwa binafsi ya pauni milioni £150,000 kwa wiki kwa ajili ya kumchukua Gonzalo Higuain ambayo itakuwa ni ni mshahara mkubwa wa rekodi ya Arsenal pamoja na ada ya uhamisho ya pauni milioni £22.

Arsenal wamekubaliana kimsingi na Real Madrid kulipa ada ya uhamisho ya pauni milioni £22 kwa ajili ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 25.
Kiwango hicho kitakuwa ni rekodi ya uhamisho ya Arsenal ambapo kwasasa ada kubwa ya rekodi ya klabu hiyo inashikiliwa na Andrey Arshavin ya pauni milioni £15 alipojiunga na klabu hiyo akitokea Zenit St Petersburg Januari 2009.
 
Nyota huyo waReal Madrid ameshaambiwa kuwa yuko huru kundoka Bernebeu.
 
Arsenal have kept close tabs on the 25-year-old forward ever since his breakthrough into River Plate’s first-team in 2004.
Arsenal explored the possibility of signing the French-born Argentinian in 2006, but Real Madrid beat them to the punch.
Spell: Argentine international Higuain has been at Real Madrid since 2007 after joining from River Plate
Muarjentina Higuain amekuwa akiitumikia Real Madrid tangu mwaka 2007 baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea River Plate.

But Wenger’s long wait to work with Higuain now looks set to end this summer.
Arsenal maintain a strong interest in Wayne Rooney and Stevan Jovetic, but the Higuain deal is viewed as the most realistic.

No comments:

Post a Comment