Phillippe Coutinho akifunga goli la kwanza huko Jakarta
Sehemu mbalimbali za dunia habari ni ileile kwa Liverpool. Kama ilivyokuwa katika mchezo wa wiki iliyopita mjini Preston, Luis Suarez alionekana kuwa moto lakini Philippe Coutinho alikuwa ndiye nyota wa mchezo.
Vikosi
Indonesia XI: Meiga, Maitimo, M. Roby (Sinaga 72), Igbonefo, Ruben Sanadi, Bustomi, Taufiq, Titus Bonai, Ferdinand, Boaz, Van Dijk (Boas 55).
Liverpool: Mignolet: Johnson (Kelly 65), Toure (Wisdom 65), Agger (Skrtel 65), Enrique (Robinson 46): Gerrard (Allen 45), Lucas (Henderson 65), Alberto (Assaidi 65): Downing (Ibe 65), Aspas (Borini 65), Coutinho (Sterling 65).
Subs not used: Jones, Spearing, Flanagan.
Goals: Coutinho 10, Sterling 87.

Steven Gerrard alicheza kipindi cha kwanza.
Lucas Leiva akipambana na Taufik.
Nyota mpya Iago Aspas alicheza kwa dakika 65.
Brendan Rodgers akionekana mwenye matumaini katika dugout.
Kumbukumbyu: Mshabiki wa Liverpool wakishika kitambaa cha Ann Williams, mwanakampeni wa heroine wa Hillsborough
Mshabiki wa Liverpool wakionyesha hisia zao kwa Luis Suarez.
No comments:
Post a Comment