KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 17, 2013

RIO FERDINAND KUZINDUA KITABU CHAKE, MASHABIKI WA SYDNEY WAANZA KUONA NAKALA YAKE NA MWENYEWE AKABIDHIWA MTOTO.

Busby babe: Rio Ferdinand with the baby he was handed at the signing session
Rio Ferdinand akiwa na mtoto aliyekabidhiwa wakati wa zoezi la kusaini.

Here you go: The baby was wearing a Manchester United bib
Mtoto wakiwa amevalishwa kitambaa cha kulia chakula chenye maandishi ya Manchester United.
My decade as a Red: Ferdinand, who will have a testimonial later this summer, signed copies of his book
Ferdinand akisaini baadhi ya vitabu.

 Mlinzi wa Manchester United Rio Ferdinand amekabidhiwa mtoto wakati wa zoezi la utiaji saini katika kitabu chake kipya mjini  Sydney.

Anazindua kitabu hicho ambacho kitakuwa na jina la 'Rio: My Decade as a Red' in the United Kingdom uzinduzi ambao utafanyika Agosti 9 lakini mashabiki wake wa Sydney wakiwa wamepata fursa ya kukiona muonekana wake mapema.
Kitabu hiki kinaelezea safari nzima ya mlinzi huyo ndani ya Old Trafford tangu ajiunge nayo ikiwa ni pamoja na maisha yake binafsi.
Kina jumuisha muonekano wa mawazo ya Sir Alex Ferguson na Rio wakati ambapo kuna picha zilizo chukuliwa kutoka katika video na kujumuisha maoni ya marafiki zake mashuhuri.
Kupitia katika mitandao ya mauzo mitandao ya Amazon na Waterstones, kitabu hicho kimeelezewa kama 'a visual and anecdotal gem'.
Arrival: Ferdinand went to a book store in Sydney to sign the copies
Ferdinand akielekea katika duka la vitabu mjini Sydney kusaini baadhi ya nakala za kitabu hicho.
The book, which also features video segments of Ferdinand's celebrity friends, is sure to be a real treat

No comments:

Post a Comment