KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 15, 2013

STEVEN GERRARD AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIAWILI LIVERPOOL.

Done: Liverpool captain Steven Gerrard has signed an extension to keep him at the club until 2015
Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard akianguka saini ya kuongeza kandarasi yake ndani ya Anfield ambao utamalizika 2015.

 Steven Gerrard ameongeza mkataba mwingine wa miaka miwili ndani ya klabu yake ya Liverpool mkataba ambao utamuweka Anfield mpaka atakapo fikia umri wa miaka 35.

Nahodha huyo wa Liverpool ambaye atakuwepo katika mchezo dhidi ya Olympiakos Agosti ameingia katika mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake wa sasa lakini ameamua kusaini tena kuenedelea kusalia hapo.
Akiongea kupitia mtandao wa klabu yake hiyo Gerrard amesema 
'Ndhani kila mtu anajua maamuzi yangu yana maana gani kwangu.
One-man club: Gerrard has only ever played for Liverpool and looks like staying until he decides to retire

Hii ni mara ya kwanza kwa Gerrard ambaye alianza kuichezea klabu hiyo Desemba 1998 kuingia mpaka mwaka wa mwisho wa mkataba lakini msimamo wake na klabu hiyo linakuwa ni muh8imu kwa meneja Brendan Rodgers ambaye amekuwa akimuelezea umuhimu wake katika msimu uliopita.
Gerrard ambaye alianguka saini ya kuongeza mkataba wake January 2012, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha meneja Brendan Rodgers ambacho kinaelekea Indonesia kesho kuanza ziara ya siku 12 huko mashariki ya mbali na barani Asia ambako huko Liverpool itacheza na timu za Jakarta, Melbourne na Bangkok.


Daniel Sturridge, however, is almost certain to remain on Merseyside to continue with his rehabilitation programme.
The England striker is fighting to be fit for the opening Barclays Premier League game against Stoke after suffering ankle ligament damage against the Republic of Ireland in May.
Looking up: Rodgers' summer has gone from strength to strength, with several promising signings
Looking up: Rodgers' summer has gone from strength to strength, with several promising signings
Liverpool warmed up for their trip with a comfortable workout at Deepdale on Saturday and Rodgers, who is continuing to look for reinforcements, gave debuts to his four summer signings Kolo Toure, Luis Alberto, Iago Aspas and goalkeeper Simon Mignolet.
Of the quarter, Aspas caught the eye, setting up a goal for Raheem Sterling before scoring one of his own with a 20-yard left-footed drive.
Philippe Coutinho, from the penalty spot, and Jordon Ibe got Liverpool’s goals before Rodgers made wholesale changes at half-time.
Mignolet, a £9million acquisition from Sunderland, was rarely tested but he was nevertheless pleased to get a clean sheet on his debut, as he prepares to go head-to-head with Pepe Reina to become Liverpool’s number one.
‘You have to always remain focused and it’s nice to be finding my own form again,’ said Mignolet. ‘When you play against a team like Preston, you hope to be dominant and you hope to score goals and that’s what we did. I have to make sure that I train hard and do well in the games I play.’
Rejuvenate: Sturridge is likely to stay in Merseyside to recover from his ankle injury
Rejuvenate: Sturridge is likely to stay in Merseyside to recover from his ankle injury

No comments:

Post a Comment