KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 12, 2013

Vita ya Manchester United na Real Madrid kumtaka Gareth Bale ni shinikizo kwa David Moyes Old Trafford.

Bale force: Gareth Bale is likely to leave Tottenham with Manchester United joining Real Madrid in the race
Gareth Bale ni kama anaondoka Tottenham wakati Manchester United ikiungana na Real Madrid katika mbio za kunasa huduma yake.

Bale force: Gareth Bale is likely to leave Tottenham with Manchester United joining Real Madrid in the race
Bale force: Gareth Bale is likely to leave Tottenham with Manchester United joining Real Madrid in the race

 Manchester United huenda bado ikiweka ombi la katika klabu ya Tottenham juu ya winga wa klabu hiyo Gareth Bale wakati huu ambapo David Moyes akionekana kuwa katika msimu mgumu wa uhamisho wa kiangazi ambao unakwenda mwishoni.
Moyes na mtangulizi wake Sir Alex Ferguson ni mashabiki wakubwa wa Bale na wote wanaamini kuwa winga wa huyo wa ukweli huenda akaelekea Old Trafford.

United kwasasa inaonekan ni kama imejiweka kando katika kujishughulisha na mpango huo kutokana na mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy, kungangania kuwa kumuuza mshambuliaji huyo kwa bei ya rekodi ya dunia zaidi ya pauni milioni £80million.
 
 United ambao ni mabingwa wa Barclays Premier League ambao wamechukua ngao ya jamii (Community Shield) hapo jana baada ya kuichapa Wigan 2-0 bado wanasaka namna kufikia muafaka na Levy ambaye alumuuza Dimitar Berbatov kwa pauni £30 mwaka 2008.

Imefahamika kuwa United imekuwa ikipendezewa na Bale tangu wakati huo akiwa na Southampton lakini hawakuweza kumtaka katika kipindi hicho na wakijaribu sasa kunasa saini yake kikosi kikiwa chini ya Moyes jaribio ambalo limeanza sasa na litaendelea mpaka mwisho wa mwezi huu.

Wakati nguvu ya ushawi ya United kumtaka kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas kuonekana kukosa nguvu baada ya Mhispania huyo kuonyesha kusalia Nou Camp huku pia jitihada za United kuwataka Marouane Fellainini wa Everton na Leighton Baines kuonekana kuanza kushindikana , ni wazi kuwa zoezi la usajili kwa Moyes linakwenda nje ya muda.
Frustrations: David Moyes has endured a difficult summer, failing to land a number of targets
David Moyes.
Better: Spirits were lifted on Sunday, though, when Moyes' team beat Wigan in the FA Community Shield
Jumapili ya jana wakati Moyes akianza kwa kunyakua ngao ya jamii baada ya kuichapa  Wigan

No thanks: Thiago and Cesc Fabregas have both decided against a move to Old Trafford
No thanks: Thiago and Cesc Fabregas have both decided against a move to Old Trafford

 Cesc Fabregas na Thiago Alcantara wote waliitolea nje Old Trafford

No comments:

Post a Comment