KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, October 16, 2013

Baada ya ushindi wa jana dhidi ya Poland na kujihakikishia nafasi kombe la dunia, England yachagua kambi yao nchini Brazil. Tazama kambi hiyo jiji Rio de Jeneiro.

Home: England will be based at the Royal Tulip Sao Conrado Beach Hotel in Rio de Janeiro
Nyumba ya England nchini Brazil: England itaweka maskani katika hoteli hii ya Royal Tulip Sao Conrado Beach Hotel mjini Rio de Janeiro wakati wa fainali ya kombe la dunia.
Bed time: The rooms at the Royal Tulip where Roy Hodgson's boys will based
Pahala pa kulala: vyumba vya Royal Tulip ambako Roy Hodgson na kikosi chake wataweka kambi.
Grub's up! The restaurant where England players will eat
Sehemu ya maakuli
Picturesque: The view from the England team hotel
Sehemu ya mapumziko.
Picturesque: The view from the England team hotel
Royal Tulip Hotel bedroom


Kikosi cha meneja Roy Hodgson kitakuwa kambini nchini Brazil katika hoteli ya nyota tano ya Royal Tulip Hotel mjini Rio de Janeiro wakati wote wa michuano ya kombe la duni ambayo inatarajiwa kuanza mwezi Juni.

Hoteli hiyo ina jumla ya vyumba 418 ndani ya ghorofa 17 sehemu ya mapumziko ya wazi yenye kukuwezesha kuona ufukwe wa Sao Conrado Beach au Gavea Stone.
 Baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kufuzu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Poland, wakuu wa FA hawakuwa na muda wa kupoteza kwa kusaka nafasi ya kikosi huko nchini Brazil.

Katibu mkuu wa FA Alex Horne amekiambia kituo cha Sky Sports News kuwa 
 'Dro itafaniyika mpaka Desemba 6 lakini tumesha fanya mipango tayari tumejadiliana na FIFA juu wa wapi tutakwenda kukaa.

'Unatakiwa kuwa na mipango ya mbele kwanza juu ya hili, FIFA inateua hoteli na viwanja vua mazoezi na sisi tumefanya kazi yetu na tumechagua wapi tunakwenda kuweka kambi yetu nchini  Brazil na itakuwa katika jiji la Rio.'

England team hotel
England team hotel
Royal Tulip Hotel
FA imeichagua Royal Tulip baada ya mipango kuwekwa wazi kwa fanzone nje ya Windsor Atlantica huko Copacabana Beach.

Lakini hoteli iliyopendekezwa haina kiwango kinachotakiwa lazima kazi kidogo ifanyike ya marekebisho ili kufikia kiwango cha timu ya England.
Ina hadhi ya hoteli ya 97 kati ya hoteli 204 za Rio baada ya kupitia mtandao wa TripAdvisor.
Miundo mbinu ya uwanja wa mazoezi wa Urca Military base, ambao England itafaanya mazoezi kunahitaji kufanyiwa kazi.
Steve Gerrard celebrates
England manager Roy Hodgson

No comments:

Post a Comment