Frank Lampard ametajwa kuwa nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya England hapo kesho katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Chile.
Steven
Gerrard ameondolewa kikosini kufuatia kukabiliwa na matatizo ya nyonga na Lampard amepewa zawadi hiyo ya dhahabu ya kuanza katika mchezo huo dhidi ya Chile ikiwa ni kutambua mchango wake wa kufikisha michezo mia moja.
Kiungo huyo wa Chelsea ambaye alikamilisha michezo 100 mwezi Septemba katika mchezo dhidi ya Ukraine atapokea zawadi kutoka kwa baba yake Frank Lampard Sr. na Sir Geoff Hurst.
Akiongea na wana habari Lampard amesema

"Hii itakuwa maalum sana kwangu, wachezaji kufikisha michezo 100 imetokezea siku kadhaa zilizopita, Nimeshuhudia hii ikitokea kwa Stevie [Gerrard] na Ashley [Cole], nimefarijika sana.
"Kupokea zawadi kutoka kwa Sir Geoff hilo ni wazo la FA lakini ninafuraha kwasababu nimekuwa nikihusishwa naye sehemu kubwa ya maisha yangu kupitia baba yangu, ni shujaa wa England.
"Nimetaka baba yangu ahusishwe kwasababu hakuna baba na mwana wengi kwenye ngazi ya kimataifa.
Kyle Walker pia ataukosa mchezo huo dhidi ya Chile lakini meneja wa England Roy Hodgson ana matumaini kuwa mlinzi wa kulia wa Tottenham kama ilivyo kwa Gerrard, atakuwa sawa katika mchezo wa Jumanne dhidi ya Ujrumani.
Hodgson amethibisha Joe Hart hatakuwepo katika kikosi cha kwanza na kwamba aidha mlango wa Celtic Fraser Forster au mlinda mlango wa Norwich City John Ruddy mmoja wao ataanza.
Mshambuliaji wa Southampton Rickie Lambert anasumbuliwa na misuli matatizo aliyoyapata mazoezini na ameondolewa kikosini dhidi ya Chile na kuna mashaka kuelekea katika mchezo dhidi ya kikosi cha Ujerumani cha kocha Joachim Low.
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge naye yuko mashakani kuelekea mchezo wa kesho Ijumaa kufuatia kuwa na matatizo ya mguu.

No comments:
Post a Comment