Screamer: Luis Suarez opens the scoring at Anfield against Norwich with a stunning volley from 40-yards |
Not again: It was a tough night for Canaries 'keeper John Ruddy who must be sick of the sight of the striker |
Inevitable: He curls in a fantastic fourth |
Thumbs up: Brendan Rodgers couldn't have been happier with the first-half blitz |
Ilikuwa ni 'Suarez show' akipiga magoli manne likiwemo moja la umbali wa yadi 40.
- Luis Suarez apiga magoli manne uwanja wa Anfield na kumfanya kufikisha jumla ya mabao 13 msimu huu.
- Amekuwa mchezaji wa kwanza wa Premier League kufunga hat-tricks tatu kuelekea klabu moja.
- Bradley Johnson afanya shambulizi la dakika za majeruhi kabla ya Reheem Sterling kuifungia bao pekee.
- Aliondoka uwanjani akiwa na mpira wake na kuwa mchezaji wa kwanza ndani ya Barclays Premier League kuweka historia ya kufunga hat-tricks tatu kuelekea katika timu moja ya Norwich, huku mabao sita akifunga nje ya eneo la 18 .
- Magoli ya jana yamemfanya kufikisha 50 ndani ya michezo 86 ya Premier LeagueMeneja wake Brendan Rodgers amelinganisha na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
No comments:
Post a Comment