KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 18, 2014

Inter Milan: Tungeweza kumsajili Messi lakini kipindi cha usajili ni kifupi

Mmiliki mpya wa Inter Milan 'Nerazzurri' Erick Thohir amesisitiza kuwa klabu yake inaweza kumchua mchezaji yoyote ilimradi tu pesa ikiwa imetengwa lakini amekanusha taarifa juu ya tetesi zote za usajili wa mwei Januari.

Mmiliki huyo raia wa Indonesian, ambaye amechukua sehemu kubwa ya hisa za klabu hiyo mwaka jana 2013, alisikika akitania kuwa anataka kumchukua mshindi mara nne wa tunzo ya Ballon d'Or Lionel Messi na kumpeleka San Siro kwani tayari ameshachukua ukubwa wa klabu hiyo kutoka kwa Massimo Moratti.
 
Amenukuliwa na Republika Online. akisema
"Wachezaji kama Messi wanaweza kununuliwa lakini sharti kubwa ni kwamba wasiathiri mipango ya kifedha ya klabu".

No comments:

Post a Comment