CHEKI AZAM FC ILIVYOWACHAPA 1-0 WAMAKONDE FERREVIARIO (Picha zote na salehejembe.com)
|
Azam ya Tanzania Bara leo imefanikiwa kuichapa timu ya Ferreviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kombe la shirikisho mchezo uliochezwa uwanja wa Azam Complex Chamazi. Bao la washindi lilifungwa na Kipre Tchetche kunako dakika ya 41 ya mchezo huo. |
No comments:
Post a Comment