KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, February 9, 2014

Ligi kuu tanzania bara: Simba hoi kwa mgambo JKT ya Handeni


Bao la dakika ya 29 lililofungwa na mshambuliaji Fully Magnga limetosha kuipa ushindi timu ya Mgamba JKT ya Handeni Tanga dhidi ya Simba katika moja ya michezo ya ligi kuu Tanzania Bara mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani Tanga. Pichani mshambuliaji wa Simba Ramadhani Singano maarufu kwa jina la Messi akiwa chini ya ulinzi mkali wa walinzi wa Mgambo.

No comments:

Post a Comment