Luiz Felipe Scolari amewataja wachezaji 16 wanaocheza soka nje ya bara la South America ambao watakuwa sehemu ya kikosi chake ambacho kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya South Africa mwezi ujao March 5.
Kiungo wa Manchester City Fernandinho, ambaye ameitumikia nchi yake michezo mitano tu na ongezeko la kushangaza kikosini ilhali mlinzi wa Bayern Munich Rafinha, ambaye aliichezea Brazil mara moja tu mwaka 2008, pia amejumuishwa.
David Luiz, Thiago Silva, Ramires, Oscar, Willian na Neymar ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa lakini Robinho wa AC Milan na Philippe Coutinho wa Liverpoool ni miongoni mwa wachezaji wakubwa walio katika mipango ya Scolari.
"Fernandinho amekuwa akicheza vizuri akiwa na Manchester [City], amekuwa akivutia watu wengi hivyo hii ni fursa kwake" Scolari amesema hayo kwa waandishi wa habari.
"Rafinha pia amekuwa akifanya vizuri katika klabu yake ya Bayern. Atakuwa na uzoefu wa kucheza katika timu ya taifa kwa kiwango kingine.
"Mchezo wa kirafiki dhidi ya South Africa ni tofauti. Sio lazima kuchukua wachezaji 23, wachezaji 18 au 19 ndio nitakao ondoka nao. Siku zote napenda wachezaji ambao wako kivitendo. Kama ni surprises, punde tu itakuwa kawaida" Scolari amekaririwa akisema hivyo.
Kikosi
Goalkeepers: Julio Cesar (QPR)
Defenders: Thiago Silva (Paris Saint-Germain), David Luiz (Chelsea), Dante (Bayern Munich), Daniel Alves (Barcelona), Rafinha (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid)
Midfielders: Luiz Gustavo (Wolfsburg), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Tottenham), Ramires, Oscar, Willian (all Chelsea)
Strikers: Neymar (Barcelona), Bernard (Shakhtar Donetsk), Hulk (Zenit)

No comments:
Post a Comment