KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, February 11, 2014

Taarifa za Rio Ferdinand kuondoka Old Trafford zamchukiza Moyes

David Moyes ameelezea taarifa za kuwa mlinzi Rio Ferdinand atastaafu baada ya kuachwa katika kikosi hicho katika safari ya Dubai ikiwa ni safari ya maandalizi ya vilabu bingwa ambapo ameziita taarifa kuwa ni "complete nonsense."

United wanatarajiwa kusafiri kuelekea Dubai alhamisi kabla ya mchezo wa vilabu bingwa Ulaya dhidi ya Olympiakos itakayopigwa February 25.

 Iliaarifiwa kuwa Ferdinand huenda angeondoshwa katika kikosi kuelekea safari hiyo na pengine ingeamsha hisia kwa mlinzi huyo kumalizia kazi yake hiyo mwishoni mwa msimu.

 "ninachoweza kukuambia ni kwamba upuuzi mtupu" Moyes alikuwa akiongea na wanahabari"[It is] complete nonsense."

United itawafuata Arsenal kesho jumatano katika mchezo wa ligi kuu kabla ya kuanza safari ya kuelekea mashariki ya kati ambapo Moyes anadhani baada ya kiwango kibovu kushuhudiwa ndani ya kikosi hicho huenda mapumziko hayo huenda yakaisaidia timu yake.

No comments:

Post a Comment