Simba Sports Club: Mchakato wa ujenzi wa uwanja wa klabu ya Simba waanza rasmi, watendaji wa klabu hiyo watembelea uwanja wa Bunju
|
Afisa habari wa Simba Asha Muhaji ametupia picha hii mtandaoni ikiwa ni maelezo "Tukiwa kazini leo maandalizi ya Uwanja wa Bunju Simba Sports Club" baadaye akaendelea kuweka comment "Yaaa
ni eneo zuri sn, yani karibu sana na barabarani, hapo tulikuwa
tunaonesha nguvu moja kama kauli mbiu yetu inavyosema ndani ya wiki
mbili greda litapita kuanza rasharasha" |
|
Katibu wa Simba Ezekiel Kamwaga yeye emetupia ujumbe huu ..mguu kwa mguu! .....msitu kwa msitu! .....bega kwa bega hadi SIMBA SC ipate uwanja wake. |
No comments:
Post a Comment