TFF yatimiza miaka 50 ya uanachama wa FIFA, yaandaa michezo na makongamano maalumu
|
Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litaadhimisha miaka 50 tangu lipate uanachama
wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (TFF) kwa shughuli mbalimbili
ikiwemo michezo na makongamano. Kamati
maalumu itaundwa kwa ajili ya kupanga na kuratibu shughuli hiyo ambayo TFF
imepanga kuadhimisha nchini nzima kwa kutumia wanachama wake. TFF
wakati huo ikiitwa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT) ilijiunga na FIFA
Oktoba 8, 1964.
|
No comments:
Post a Comment