Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Komorozine ya Comoro |
Msuva akipambana na mlinzi wa Komorozine Ahmad Houmadi |
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Nadir Haroub Kanavaro aliyefunga bao la pili |
Mashabiki wa Yanga wakifuatiali mchezo huo |
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akijaribu kumuhadaa mlinzi wa Komorozine Ally Mohamed |
Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza akiandika bao la nne la Yanga |
Mrisho Ngasa akiandika bao la sita na kukamilisha mabao yake matatu yaani Hat-trick |
No comments:
Post a Comment