KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, April 14, 2014

Nyota wa West Ham Mohamed Diame amesisitiza kuwa Liverpool bado wanamtaka

shares
Diame: My name is still on Liverpool wanted list
Mohamed Diame of West Ham
Nyota wa West Ham Mohamed Diame amesisitiza kuwa Liverpool bado iko katika mawindo ya kutaka saini yake ikiwa ni miaka miwili baada ya kukanusha kujiunga katika viunga vya Anfield.

Kiungo huyo wa zamani wa Wigan alidaiwa kutaka kujiunga na kikosi cha Kenny Dalglish mwaka 2012, lakini wakati Mscoch huyo akifuzwa kiangazi, uhamisho wake ukashindikana na hatimaye akajiunga na washika nyundo wa jiji la London.

Diame, mwenye umri wa miaka 26, tangu wakati huo amekuwa aking'ara sana ndani ya viunga vya Upton Park, na kuonyesha yuko tayari kujiunga na Liverpool ambayo imemuweka katika orodha ya kipaumbele.

No comments:

Post a Comment