KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, May 3, 2014

Bingwa wa zamani wa mbio fupi Tyson Gay asimamishwa kwa matumizi ya madawa

Bingwa wa zamani wa dunia wa mbio za umbali wa mita 100 na 200 Tyson Gay amefungiwa kushiriki mbio kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kugundulika kutumia madaya yaliyopigwa marufuku ambayo yana vimeng'enyo vya Anabolic steroid.

Gay mwenye umri wa miaka 31, pia amerejesha medali ya fedha aliyoshinda katika mbio za umbali wa mita 400 katika mashindano ya London ya Olympics yaliyofanyika miaka miwili iliyopita.

Adhabu hiyo imetolewa tangu kipimo dhidi yake kufanyika tarehe 23 June 2013, tarehe ambayo aligundulika kutenda kosa hilo katika mashindano ya dunia ya marekani.

Hiyo ilikuwa ni mara ya tatu Gay anashindwa katika vipimo na kuondolewa katika mashindano.

No comments:

Post a Comment