![]() |
Mlinzi Thomas Vermaelen hakushiriki mazoezi alhamisi hii na kufanya mtoko na mpenzi wake Polly Parsons. |
Wawakilishi kutoka Barcelona wametua London kwa matumaini ya kukamilisha mpango wa kumsajili Thomas Vermaelen wakikabiliana na jitihada za Manchester United kumsajili mlinzi huyo.
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 28 amekuwa akiwaniwa na vilabu vyote hivyo Catalans na United kiangazi hii huku meneja wake Arsene Wenger akithibitisha kumuweka sokoni.
Barcelona
wamemtuma mkurugenzi wake Raul Senlleh jijini London kwa matumaini ya kumsajili mchezaji huyo wa Arsenal.
Njia moja: Mlinzi wa Arsenal Thomas Vermaelen huenda akajiunga na Barcelona
Vermaelen hakuwepo mazoezini Arsenal Alhamisi kutokana na kuwa majeruhi.
No comments:
Post a Comment