Michael
Carrick anatajia kuwepo katika kikosi cha Manchester United usiku wa leo baada kuponya kwa haraka majeraha ya enka yaliyokuwa yakimsumbua.
Manchester United watakuwa wakikabiliana na West Brom na habari zinasema kuwa Carrick ametajwa na meneja wake Louis van Gaal kuwemo katika kikosi hicho.
Carrick
alikosekana kwa karibu msimu mzima mpaka sasa lakini timu ya watabibu wa klabu yake wamepigania vilivyo afya yake kiasi kwamba hii leo katika hali ya kushitua ametangazwa kuwepo kikosini.
No comments:
Post a Comment