Meneja wa Manchester Luis Van Gaal amesisitiza kuwa haoni wivu juu ya ubora wa kikosi cha Manchester City wakati huu ambapo anajiandaa kuelekea katika mchezo wa dabi ya Manchester hapo kesho.
Vijana wa Manuel Pellegrini kilitwaa taji la pili katika kipindi cha miaka mitatu msimu uliopita huku dhamira ya wazi ikiwa ni kupata taji lingine msimu huu wakiwa na wachezaji wakali Sergio Aguero, Yaya Toure, David Silva na Vincent Kompany.

No comments:
Post a Comment