KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 6, 2010

DAR YOUNG AFRICA MPYA
Hiki ndicho kikosi kipya cha mauwaji cha Dar young Africans msimu huu wa 2010/2011 dhamira ni kurejesha heshima katika mitaa ya Jangwani na Twiga,kimeanza vizuri maandalizi yake kwa kuichapa Telecom Wonderas ya Malawi na kisha kuiadhibi Mtibwa sugar ya Manungu Turiani.
Wana-Yanga wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa msimu mpya wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri msimu huu katika ligi kuu ya Tanzania Bara lakini pia michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.

1 comment:

  1. Eti kikosi cha mauaji. Mauaji gani? Ya kuwapiganisha jangwani?
    Mtaua wooote lakini si Simba wala Kagera Stars
    Poleni in advance

    ReplyDelete