KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 12, 2010


Katika viwanja vya tennis

Djokovic, Murray, Davydenko wasonga mbele katika michuano ya tennis kule Toronto
AP - Wednesday, August 11, 2010

Novak Djokovic amefanikiwa kushinda kwa seti a 7-5, 7-5 dhidi ya mfaransa Julien Benneteau jumatano hii katika michuano ya Rogers Cup.

Andy Murray bingwa mtetezi akiwa katika nfasi ya nne kwa ubora duniani amechapa mbelgium Xavier Malisse kwa seti 7-5, 6-2.

Djokovic bingwa Canadian tournament miaka mitatu iliyopita amewachapa wote Rafael Nadal na Roger Federer. Amefanikiwa kutinga katika robo fainali katika michuano yote ya miaka miwili iliyopita.

Mrussia Nikolay Davydenko amepata ushindi wa seti 7-5, 6-1 dhidi ya mtaliano Fabio Fognini katika mchezo uliopigwa mapema.

Nadal nambari moja duniani anatarajiwa kupanda tena ulingoni jumatano usiku na atakumbana dhidi ya jamaa toka Switzerland Stanislas Wawrinka.





No comments:

Post a Comment