
Akiwa katika tuzo za MTV VMAs red carpet, Katy Perry ambaye kwasasa anaonekana kukamua vilivyo katika muziki wa pop anasema anataraji kufanya tour behind "Teenage Dream" in 2011, MTV.
"I hope that it's going to engage all of your senses: sight, sound, smell, taste, touch,"
Akizungumzia juu ya wimbo wake ujao ambao utakuwa ni single yake ya tatu wa "Teenage Dream" wimbo wenyewe na video yake itakuwa "touching."
No comments:
Post a Comment