KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 7, 2014

Polisi ya Morogoro wanajiwinda la ligi kuu jijini Dar es Salaami

Kocha wa polisi ya Morogoro Adolf Rishard
Maafande wa polisi Morogoro wao wameweka kambi jijini Dar es salaam wakijiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, Ambapo wanaamini wakiwa jijini humo watapata michezo mingi ya kujipima nguvu kabla ya kuanza safari ya kuusaka ubingwa wa Tanznaia bara August 24 mwaka huu.

Kocha wa Polisi Morogoro Adolf Richard amesema tangu walipowasili jijini Dar es salaam hali ya wachezaji wake ipo vizuri.