KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 22, 2013

Martinez anahofia kuwa Baines na Fellaini huenda wasitulie kufuatia maombi ng'ang'anizi ya United.

Everton's Marouane Fellaini (left) and Leighton Baines
Everton's Leighton Baines

Leighton Baines (kushoto) na Marouane Fellaini wanahusishwa na kutakiwa na Manchester United
 Roberto Martinez amedai kuwa wakati dirisha likiwa linaelekea kufungwa amesistiza kuwa wachezaji wamekuwa wakiathirika na kuendelea kuwepo kwa maombi ya wachezaji kutoka katika vilabu vingine.

Katika wiki ambayo kumekuwepo na maombi kutoka katika klabu ya Manchester United kwa ajili ya wachezaji wake wawili wa Everton Leighton Baines na Marouane Fellaini, meneja huyo wa Goodison Park ameweka wazi kuwa amekuwa katika kipindi kigumu kufuatia kuwepo kwa hali ya kutokutulia kwa wachezaji wake wakati msimu wa usajili ukiwa unaendelea kuyoyoma.

Mabigwa wa soka nchini England wanataka kuimarisha kikosi chao kabla ya kumalizika kipindi cha uhamisho wa cha majira ya kiangazi.
Strong words: Roberto Martinez has claimed the two players have been affected by the speculation
Roberto Martinez anasema fununu za usajili kwa wachezaji wake wawili zinawafanya washindwe kutulia.

United inadhaniwa kutaka kuweka mezani pauni milioni £35 baada ya jaribio lao awali kukwama ambalo waliweka mezani pauni milioni £28.
Making his move: David Moyes wants to be reunited with Baines and Fellaini after managing them at Everton
David Moyes anataka kuungana na Baines na Fellaini baada ya kuwafundisha katika klabuyake ya zamani ya Everton.

No comments:

Post a Comment