KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 10, 2013

Cole na Carroll wakiwa LA wakati ambapo Joe Hart akisumbua huko Cabo

Night on the tiles: Ashley Cole and Ashley Cole enjoy a night out
Baada ya msimu mrefu wa soka barani Ulaya, dunia ya soka inatarajia kurejea lakini wachezaji mbalimbali waliongara katika ligi mbalimbali wakiendelea kufuarahia msimu wa mapumziko ya hot summer sehemu mbalimbali za dunia.
Rockersports inaendelea kukupatia picha kali mbalimbali za wakali hao kupitia mtandao wa Sportsmail toka pande za Las Vegas mpaka to Dubai, Ibiza (and back to Las Vegas) on a daily basis.

ASHLEY COLE AND ANDY CARROLL (LA, USA)

Mlinzi wa kimataifa wa England Ashley Colena mshambuliaji Andy Carroll walisafiri kuelekea Los Angeles.

Cole alikuwa na msimu mrefu akiwa na klabu yake ya Chelsea na timu ya taifa ya England ambapo alishinda taji la Europa League na kukamilisha michezo 100 ya kuitumikia timu ya taifa ya England ilhali Carroll akianza msimu kwa mkopo na klabu ya West Ham.

Football looked to be the last thing on their minds as they enjoyed a night out in LA as Cole - once married to Newcastle's finest Cheryl - tweeted a picture with the tweet: 'Chillin wit my Geordie bros
in LA.'
Night on the tiles: Ashley Cole and Ashley Cole enjoy a night out
Night on the tiles: Ashley Cole and Ashley Cole enjoy a night out

JOE HART (MEXICO)

After a long hard season between the sticks for Manchester City and England, Joe Hart is enjoying a well earned break with his girlfriend Kimberly Crew.
While other England stars such as Jack Wilshere and Theo Walcott headed for the bright lights of Las Vegas, Hart and girlfriend Kimberley headed for the Mexican resort of Cabo.
The pair sipped drinks on the beach as they soaked up the rays on their sun beds.
It is a well earned rest for the City No 1 as he is likely to be totting up the air miles when he returns to pre-season with games in South Africa, Hong Kong, Munich and Helsinki all scheduled for the 2012 champions.
Ready for the beach: Manchester City goalkeeper Joe Hart and girlfriend Kimberly Crew head to their sunbeds
Ready for the beach: Manchester City goalkeeper Joe Hart and girlfriend Kimberly Crew head to their sunbeds
Soaking up the sun: Hart and girlfriend Kimberly lie out in the sun
Soaking up the sun: Hart and girlfriend Kimberly lie out in the sun
Covering up: Hart applies sun cream to his arms
Covering up: Hart applies sun cream to his arms

TOM CLEVERLEY (BANGKOK)

Kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya England Tom Cleverly alitupia picha yake akiwa anakula bata mjini Bangkok akiva katika mavazi ya wadhamini wa vifaa Nike

Cleverley alikuwa akisherekea kuwa baba kufuatia mpenzi wake Georgina Dorsett kujifungua mtoto wa kike Nevaeh Rose.
Aliandika maneno haya
 'Loving the Thai food! #clevzinasia' - somehow we at Sportsmail don't believe that particular hashtag will be trending anytime soon.
Tom Cleverley
Tucking in: Tom Cleverley in Bangkok
Tucking in: Tom Cleverley has been relaxing in Bangkok after his season with Manchester United

KEVIN-PRINCE BOATENG AND NIGEL DE JONG (SPAIN)

Wachezaji wawili wa AC Milan Kevin-Prince Boateng na Nigel de Jong wao wamesafiri na familia zao kuelekea nchini Hispania ambako walikuwa wakifurahia safari za boti na familia zao.

Wawili hao waliisaidia Milan kumaliza katika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu ya soka nchini Italia Serie A ambapo waliamua kufurahia maisha na familia zao. 
Taking a dive: Nigel de Jong dives into the sea while Kevin-Prince Boateng watches on
Nigel de Jong akipiga mbizi huku Kevin-Prince Boateng akimuangalia.


Heading out to sea: De Jong leaves the main boat to go for a paddle
De Jong akihama kutoka katika boti kubwa na kujaribu kupiga kasia.
 Having a rest: Boateng and De Jong on holiday with their families in Formentera
Boateng na De Jong wakifurahia maisha na familia zao huko Formentera

Rub down: Boateng has sun cream rubbed on his back
Boateng akipakwa mafuta ya juani mgongoni.

Deep blue sea: Boateng sit on a surfboard in the sea
Boateng akiketi katika boya la kuongelea pamoja na mpenzi wake.

No comments:

Post a Comment