KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 20, 2014

Picha za kikosi cha Coastal Union ya Tanga wakielekea kambini Pemba kwa makeke ya udhamini wa kiwanda cha kutengeneza unga cha Pembe

Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wa
ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi
ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu soka
tanzania bara ,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo
kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe..

kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe.
Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wa
ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi
ya kabla ya kuanza msimu ujao wa Ligi kuu soka
tanzania bara , kambi hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo
kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe..