KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, June 11, 2013

FABREGAS NA LEWANDOWSKI WAIWASHIA UNITED TAA YA KIJANI.

Double strike: Man United believe they can land Cesc Fabregas and Robert Lewandowski (below)
Man United anaamini itamcuhua believe they can land Cesc Fabregas and Robert Lewandowski (below)

 Manchester United inaongeza hali ya kujiamini zaidi kwamba itafanikisha mpango wa kuwachukua Cesc Fabregas na Robert Lewandowski na kuwapeleka Old Trafford majira haya ya uhamisho wa kiangazi baada ya kupata maneno ya kutia moyo kutoka kwa wachezaji wenyewe.

Meneja mpya wa United David Moyes anaonekakana kutaka kuwachukua wachezaji wote wawili kiungo wa Barcelona na mshambuliaji wa Borussia Dortmund kwa lengo la kupiga msasa kikosi kabla ya kikosi hicho hakijaanza ziara ya bara la Asia na Australia katikati ya mwezi ujao.
Imefahamika kuwa wachezaji hao tayari wameonyesha nia ya kujiunga na mabingwa hao wa Barclays Premier League ilhali United ikidhani kuwa inaweza kukamilisha mpango huo.
Robert Lewandowski
Robert Lewandowski

Fabregas ambaye ni kiungo wa zamani wa Arsenal hapo kabla alikataa kuwa hawezi kuelekea Old Trafford endapo ataondoka Nou Camp msimu huu wa kiangazi, lakini United inajiamini kuwa inalo lakufanya la kumpendeza kiungo huyo aliyeitumikia klabu hiyo ya London kwa miaka minane kabla ya kuelekea Hispania miaka miwili iliyopita.
Lewandowski anaonekana wazi kuelekea England baada ya mpango wake kuelekea kwa mabingwa wa vilabu Ulaya Bayern Munich kwenda kombo wiki hii.
United imekuwa ikimfuatia nyota huyo kwa karibu mwezi sasa kwa imani kuwa atapeleka ushindani mkubwa kwa Robin van Persie, ambaye kabla ya kuanza kwa kampeni ya kutete taji mwezi Agosti atakuwa amefikisha umri wa miaka 30.
Challenge: Robin van Persie could do with a tough challenge for his starting berth at Man United
Robin van Persie atakuwa kwenye ushindani wa namba endapo Lewandoski akitua Old Trafford.

Kuwasili kwake pia kutaongeza presha kwa Wayne Rooney, ambaye alitangaza kutaka kuondoka Old Trafford kuelekea mwishoni mwa msimu uliopita.
Making his mark: David Moyes would love to capture these huge stars and make an instant impact at Old Trafford
Leaving? Wayne Rooney has been linked with a move away from Manchester United

No comments:

Post a Comment