KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 3, 2012

Njaa ya mataji Hispania :Jordi Alba na Mata kusaka taji lingine la Olympic

Jordi Alba

Wachezaji Jordi Alba, Javi Martinez na and Juan Mata ni miongoni mwa wachezaji waliotangazwa kuunda kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kwenye michezo ya Olympic mjini london.
Wachezaji hawa walikuwemo katika cha timu ya taifa hilo kilicho twaa taji la euro 2012 .
Licha ya kucheza na mchezo wa fainali wa Euro 2012 na kufunga dhidi ya Italia  Alba na Mata wameitwa.
 Kikosi hicho kinataraji kujipima dhidi ya Senegal na Mexico katika mchezo wa kirafiki kabla ya kocha wake Luis Milla kupunguza baadhi ya wachezaji na kufikia 18 ambao watashiriki michuano hiyo.
Goalkeepers:        
Joel         Atletico Madrid
Daivd de Gea        Manchester United
Diego Marino       Villarreal
Defenders:    
Mikel San Jose      Athletic Bilbao
Martin Montoya Barcelona
Jordi Alba      Barcelona
Alvaro Dominguez       Monchengladbach
Cesar Azpilicueta         Olympique Marseille
Inigo Martinez      Real Sociedad
Alberto Botia        Sporting Gijon
Midfielders:          
Ander Herrera      Athletic Bilbao
Javi Martinez        Athletic Bilbao
Koke       Atletico Madrid
Thiago Alcantara Barcelona
Cristian Tello         Barcelona
Oriol Romeu         Chelsea
Juan Mata     Chelsea
Isco         Malaga
Attackers:      
Iker Muniain         Athletic Bilbao
Adrian Lopez         Atletico Madrid
Rodrigo Moreno Benfica
Alvaro    Espanyol

No comments:

Post a Comment