KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 3, 2012

Samir Nasri na Hatem Ben Arfa waadhibiwa


Jumla ya wachezaji wanne wa timu ya taifa ya Ufaransa wanakabiliwa na adhabu inayotokana na utovu wa nidhamu uliotokea katika michezo ya Euro 2012.
Taarifa ya shirikisho la soka la nchini Ufaransa (FFF) Samir Nasri alitenda kosa la kutoa lugha chafu kwa mwandishi wa habari ilhali Jeremy Menez alifanya kama hivyo kwa nahodha Hugo Lloris.
Hatem Ben Arfa alihitilafiana na aliyekuwa bosi wake Laurent Blanc naye Yann M'Vila hakupena mikono na kocha wakati akibadilishwa kuelekea kwenye benchi.
Rais wa FFF Noel Le Graet amesema pesa ya bonas kiasi cha pauni £80,000 hakitatolewa.
Amenukuliwa pia akisema
"Hatem Ben Arfa, Yann M'Vila, Samir Nasri na Jeremy Menez wanatakiwa mbele ya kamati ya "
Amesema pia wachezaji hao wataadhibiwa tu lakini hawaadhibiwa kimazoea lakini wataadhibiwa .

No comments:

Post a Comment