KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 27, 2013

BATA LA KUMALIZIKA KWA MSIMU LINAENDELEA MASTAA WA SOKA WAKIVINJARI KATIKA FUKWE MBALIMBALI DUNIANI. TEMBELEA MTANDAO HUU UONE MAMBO.............................WENGINE

Earning his Spurs: Benoit Assou-Ekotto meets a Star Wars Stormtrooper while on holiday in Las Vegas
BENOIT ASSOU-EKOTTO (LAS VEGAS)
Mlinzi wa kushoto wa Tottenham Benoit Assou-Ekotto alikutana na upinzani mkubwa msimu uliokwisha lakini sasa hali ni tofauti.
Mlinzi huyo raia wa Cameroon yupo Las Vegas kwasasa kabla ya kurejea London ya Kaskazini kwa maandalizi ya kuanza kwa ligi na hii leo ametupia picha yake akiwa amekutana na Stormtrooper kutoka Star Wars.
Earning his Spurs: Benoit Assou-Ekotto meets a Star Wars Stormtrooper while on holiday in Las Vegas
 Benoit Assou-Ekotto pichani akiwa amekutana na Star Wars Stormtrooper akiwa mapumzikoni Las Vegas
 
SAMIR NASRI (LAS VEGAS)
Assou-Ekotto hakuwa peke yake huko nyota mwingine wa Premier League Samir Nasri naye ameonekana huko Las Vegas akila maisha ya juu huko Las Vegas, wakati ambapo kiungo huyo wa Manchester City alipokuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa akifikisha umri wa miaka 26 akiwa na marafiki zake wa kike.
Guess his age: Samir Nasri celebrated his birthday in Las Vegas with girlfriend Anara
Samir Nasri akisheherekea siku yake ya kuszaliwa mjini Las Vegas akiwa na mpenzi wake Anara

Nasri
Surrounded: Nasri partied in Vegas with a host of glamourous friends
Nasri akisheherekea akiwa na maedmu kadhaa. 

RADAMEL FALCAO (MIAMI)
Ni mmoja wa washambuliaji nyota duniani kwasasa ambaye wengi walishangazwa na maamuzi yake ya kuihama Atletico Madrid na kujiunga na Monaco, huyu si mwingine bali ni Radamel Falcao.

Lakini kuhama kwake hakuja haribu mipango yake ya kaida ya maisha baada ya mshambuliaji huyo kuonekana akimshindikiza mkewe Lorelei mwenye ujau zito mkubwa pwani ya Miami kabla ya kuungana na wachezaji wenzake wa timu yake mpya ya Monaco.
Falcao akionekana akiwa kifua wazi akionyesha misuli ya mwili wake.
Holding hands: Radamel Falcao and his pregnant wife Lorelei Taron spent an afternoon on the beach in Miami
Radamel Falcao na mkewe Lorelei Taron wakila bata katika ufukwe wa Miami

Falcao
Falcao
Soon to be: Falcao rubbed his pregnant wife's belly as the couple got some shade

DARREN BENT (BARBADOS)
Mshambuliaji wa Aston Villa Darren Bent akiendeleza kipindi chake cha mapumziko ya baada ya kumalizika kwa msimu na baada ya kufunga ndoa na mkewe mpya Kirsty Maclaren akifurahia fukwe ya Bajan akiwa na nyani aliyetambulika kwa jina la 'Sameera'
Monkeying around: Darren Bent and wife Kirsty Maclaren were lounging with 'Sameera' the monkey
Bent
Bent
Bent
Hold me close: Bent and Kirsty were wrapped around each other on their honeymoon
Ama kweli hii ni honeymoon. Bent na mkewe mpya Kirsty wakionekana wakiwa wamekumbatina ufukweli katika kipindi cha baada ya kufunga ndoa



PHIL NEVILLE, MICHAEL CARRICK AND DARRON GIBSON (BARBADOS)
Recently retired Phil Neville also continued his holiday on the Caribbean island, and a former team-mate came to visit and Everton midfielder Darron Gibson and new wife Danielle were pictured in the sea with Neville and wife Julie.
Neville is currently undecided about his next path, with a coaching role at former club Manchester United under David Moyes or a punditry gig both rumoured, while Gibson - another former United player - was catching some rays before heading back to Goodison Park.
Motoring away: Darron Gibson took in a spot of jet-skiing while on holiday in Barbados
Motoring away: Darron Gibson took in a spot of jet-skiing while on holiday in Barbados
United front:Gibson and Michael Carrick (right) were spotted chatting in the Caribbean sea
United front:Gibson and Michael Carrick (right) were spotted chatting in the Caribbean sea
On the beach: Phil Neville was with Gibson, Carrick and their respective partners on the beach
On the beach: Phil Neville was with Gibson, Carrick and their respective partners on the beach
Also with the pair on the Carribbean island was midielder Michael Carrick. The England man was spotted in the sea with Gibson with wife Lisa relaxing on the beach as he prepares for a first season at Old Trafford without Sir Alex Ferguson.
PS...
Footballers clearly haven't got a monopoly on Barbados, as US golfer Dustin Johnson was snapped on holiday with his girlfriend Pauline Gretsky, daughter on ice hockey legend Wayne.
Say cheese: Golf player Dustin Johnson takes a picture of girlfriend Paulina Gretzky with another monkey
Say cheese: Golf player Dustin Johnson takes a picture of girlfriend Paulina Gretzky with a monkey
Golf player Dustin Johnson and Paulina Gretzky
Sunkissed: Johnson and Paulina, daughter of ice hockey legend Wayne, were also in Barbados
Sunkissed: Johnson and Paulina, daughter of ice hockey legend Wayne, were also in Barbados

No comments:

Post a Comment